Learning Resources

Mexico

Audio worksheets

Four days ago…. Siku nne zilizopita I went to Mexico to the city of Tijuana…Nilikwenda Mexico katika mji wa Tijuana… with my three friends………na marafiki zangu watatu. We stayed there for 4 days………….Sisi tulikaa huko kwa siku nne. We worked with children…………….Sisi tulifanya kazi na watoto They live at refugee camps……………Wao wanaishi katika kambi za […]