Mexico

Audio worksheets
Four days ago…. Siku nne zilizopita
I went to Mexico to the city of Tijuana…Nilikwenda Mexico katika mji wa Tijuana…
with my three friends………na marafiki zangu watatu.
We stayed there for 4 days………….Sisi tulikaa huko kwa siku nne.
We worked with children…………….Sisi tulifanya kazi na watoto
They live at refugee camps……………Wao wanaishi katika kambi za wakimbizi.
Each family lives in a small plastic tent………Kila familia huishi katikia hema dogo la plastiki.
Their families want to immigrate to the United States…….Familia zao zinataka kuhamia Marekani
But America doesn’t want them…..Lakini Amerika haiwataki
They left their homes far away……Wao waliziwacha nyumba zao mbali.
They walked many days and many kilometers…….Wao walitemblea kwa siku nyingi na kilomita nyingi
We gave art lessons to the children and women…….Tuliwapa madarasa ya sanaa kwa watoto na wanawake.
When we arrived…….Tulipofika…
I was a little nervous……..nilikuwa na wasiwasi kidogo.
The children were very noisy………..Watoto walikuwa na kelele sana.
The women were sad and doubtful……wanawake walikuwa na huzuni na shaka
We did drawings with the children……Tulifanya michoro na watoto
The women wrote love letters to themselves…….Wanawake walijiandikia barua za mapenzi.
When the children did art,…..watoto walipofanya sanaa,
they became calm……wakawa na utulivu
When the women wrote letters,…….Wanawake walipoandika barua,
they became quiet……….wakawa kimya.
They cried……walilia….
when they read the letters to each other………..waliposoma barua zao kwa wenziwe
kambi zilifunza………the camps taught me
kila mtu anataka kuwa na faraha na usalama……..that every person wants to be happy and safe.

2 thoughts on “Mexico

Leave a Reply

Your email address will not be published.